Tamasha la Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki Lafana Jijini Paris
Makala ya 33 ya Michezo ya Michezo ya Olimpiki yalifunguliwa rasmi usiku wa kuamkia leo kwa tamasha la kuvutia mjini Paris, Ufaransa. Tofauti na miaka ya zamani ambapo sherehe za ufunguzi zilifanyika kwenye viwanja vya michezo, mwaka huu tamasha hilo lilifanyika kwa mitindo ya kipekee, ambapo wanariadha walipiga gwaride kwenye mto Seine huku wakitumia mashua…