THE SPECIAL ONE. Jose Mourinho Yuko Karibu Kujiunga na Fenerbahce.
Jose Mourinho anakaribia kurejea kwenye ulingo wa ukufunzi baada ya kukubali masharti ya kuwa kocha mkuu wa klabu ya Fenerbahce. Mourinho, ambaye hajakuwa na timu tangu atimuliwe na Roma mwezi Januari, anatarajiwa kuchukua nafasi ya kocha wa sasa wa Fenerbahce, Ismail Kartal katika Ligi Kuu ya Uturuki, Süper Lig. Mreno huyo anayejivunia ufanisi mkubwa barani…