Xavi Hernandez

Barcelona Yampiga Kalamu Kocha Xavi Hernandez.

Kilabu ya Barcelona imemsimamisha kazi kocha wake Xavi Hernandez kutoka kwa wadhifa wake wa ukufunzi. Katika taarifa iliyochapishwa na usimamizi wa Barcelona siku ya Ijumaa, usimamizi wa Barca ukiongozwa na rais Joan Laporta, uliafikia uamuzi wa kumsimamisha kazi Xavi baada ya kikao kilichoandaliwa mapema leo. Xavi mwenye umri wa miaka 44, alitangaza kwamba ataondoka Barcelona…

Soma Zaidi
Mauricio Pochettino

Mauricio Pochettino Aondoka Chelsea.

Katika taarifa iliyotolewa kupitia tovuti rasmi ya Chelsea, usimamizi wa klabu hiyo umetangaza kuafikia makubaliano ya kuachana na Mauricio Pochettino kama mkufunzi mkuu. Hatua hii imekujia kwa mshangao kwa mashabiki wa kilabu ya chelsea, baada ya Pochettino kuhudumu kwa msimu mmoja pekee katika klabu hiyo. Pochettino, mwenye umri wa miaka 52, aliteuliwa kuwa mkufunzi mkuu…

Soma Zaidi