Waziri Ababu Namwamba Aitaka Gor Mahia Kujiandaa Mapema kwa Mechi za CAF.
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba, ametoa wito kwa Gor Mahia kujitayarisha mapema kwa mechi za Kilabu bingwa barani Afrika. Waziri Namwamba amesisitiza matayarisho haya ili Gor Mahia wafanikishe safari yao baada ya kufungiwa nje ya michuano ya CAF mwaka jana. Gor Mahia, ambao walinyakua taji lao la 21 la Ligi Kuu ya Kenya baada ya…