Pamzo Atatuletea Taabu, Mkufunzi wa Kogalo Asema Kabla ya Mchuano wao.

Mkufunzi wa kilabu ya Gor Mahia, Jonathan McKinstry, anaamini kwamba kilabu ya Shabana itawapa wakati mgumu wakati watakapokutana katika mpambano wa ligi kuu siku ya Jumamosi. McKinstry ameeleza kuwa kocha wa Shabana, Sammy “Pamzo” Omollo, anaifahamu vyema Gor Mahia na huenda akawaletea changamoto katika mchezo huo utakaochezwa mjini Kisumu. “Kocha Pamzo anaijua vyema K’Ogalo kwa…

Soma Zaidi

Shabana Iko Imara, Beki Alvin Ochieng Aeleza Imani ya Kuepuka Kushushwa Ngazi.

Beki wa kulia wa Kilabu ya Shabana FC, Alvin Ochieng, ametoa matumaini ya uhakika kwamba timu yake haitashuka daraja msimu huu katika Ligi Kuu ya FKF. Ochieng ameeleza kuwa ili kuthibitisha nafasi yao kwa msimu ujao, wanahitaji angalau ushindi katika mechi tatu zinazofuata. Shabana FC imeonyesha mwendo imara katika mechi zao nne zilizopita, wakipata alama…

Soma Zaidi

Wanariadha wa Kenya Watawala Guttenberg Half Marathon

Wanariadha wa Kenya kwa mara nyingine walionyesha uwezo wao wa hali ya juu kwa kutawala na kuibuka kidedea katika mashindano ya Guttenberg Half Marathon yaliyofanyika nchini Ujerumani siku ya Jumapili. Kikosi hicho kilichoongozwa na Benson Mutiso na Victor Kimutai kilichukua udhibiti wa mbio hizo, wakivunja historia ya mbio hizo huku pia wakifanikiwa kumaliza mbio hizo…

Soma Zaidi