Man Utd Wapata Pigo Jingine kwa Jeraha la Beki Harry Maguire.
Klabu ya Manchester United imetangaza kwamba beki wake Harry Maguire atakuwa nje ya uwanja kwa muda wote uliobaki wa msimu huu kutokana na jeraha la msuli. Muingereza huyo, ambaye amekuwa muhimu katika safu ya ulinzi ya United msimu huu, anatajwa kuwa anaangaziw akwa ukaribu ili kubaini iwapo ataweza kurejea kabla ya mwisho wa mwezi Mei….