Junior Starlets Waandikisha Historia kwa Kufuzu Kombe la Dunia.
Kikosi cha Taifa cha wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 Junior Starlets kimeingia kwenye historia kwa kuwa timu ya kwanza kutoka Kenya kushiriki kwenye Kombe la Dunia la U-17. Hii ni baada ya ya kusajili ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burundi, katika mechi ya kufuzu iliyoandaliwa jumapili katika uwanja wa Ulinzi Sports Complex, Jijini…