Shabana Iko Imara, Beki Alvin Ochieng Aeleza Imani ya Kuepuka Kushushwa Ngazi.

Beki wa kulia wa Kilabu ya Shabana FC, Alvin Ochieng, ametoa matumaini ya uhakika kwamba timu yake haitashuka daraja msimu huu katika Ligi Kuu ya FKF. Ochieng ameeleza kuwa ili kuthibitisha nafasi yao kwa msimu ujao, wanahitaji angalau ushindi katika mechi tatu zinazofuata. Shabana FC imeonyesha mwendo imara katika mechi zao nne zilizopita, wakipata alama…

Soma Zaidi