Pamzo Atatuletea Taabu, Mkufunzi wa Kogalo Asema Kabla ya Mchuano wao.

Mkufunzi wa kilabu ya Gor Mahia, Jonathan McKinstry, anaamini kwamba kilabu ya Shabana itawapa wakati mgumu wakati watakapokutana katika mpambano wa ligi kuu siku ya Jumamosi. McKinstry ameeleza kuwa kocha wa Shabana, Sammy “Pamzo” Omollo, anaifahamu vyema Gor Mahia na huenda akawaletea changamoto katika mchezo huo utakaochezwa mjini Kisumu. “Kocha Pamzo anaijua vyema K’Ogalo kwa…

Soma Zaidi